Idara ya FBI yaonya uwezekano wa maandamano yenye silaha
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati sherehe za kuapishwa Rais mteule Joe Biden zikikaribia Idara ya Upelelezi wa Jinai Marekani, FBI, inaeleza taarifa za mitandaoni zinathibitisha kuwepo uwezekano wa maandamano yenye silaha ya wafuasi wa Rais Trump.