Idadi ya wagonjwa wa COVID-19 yashuka Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Idadi ya wagonjwa wa COVID-19 Marekani na wale waliolazwa hospitali imeanza kushuka polepole, bila ya kusahau kuwa mwezi Januari ulishuhudia vifo vingi kutokana na maambukizi hayo.