idadi ya waandishi wanaokamatwa yaongezeka duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Idadi ya waandishi wa habari wanaokamatwa inaendelea kuongezeka kote duniani
- Rais wa Marekani Joe Biden aahidi msaada zaidi kwa waathirika wa dharuba kali katika majimbo kadhaa Marekani

- Na vifaru 24 wauawa Afrika Kusini katika uwindaji haramu

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari