Idadi ya simba barani Afrika yapungua kufikia 20,000

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la World Animal Protection linasema simba wamepungua kutoka 200,000 kufikia 20,000 kutokana na kuuliwa kuchukua mifupa yao.