Idadi kubwa ya Wamarekani yawakosoa wafuasi wa Trump

Your browser doesn’t support HTML5

Uvamizi wa Bunge la Marekani uliofanywa na wafuasi wa Rais Donald Trump, taswira iliyo washtusha na kuwa ghadhibisha wengi na hivyo Wamarekani wengi waendelea kukosoa vitendo hivyo.