ICNA yatoa wito Waislam kuungana dhidi ya chuki inayoongezeka dhidi yao duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Kiongozi wa Baraza la Waislam wa Amerika ya Kaskazini, ICNA, ametoa wito kwa Waislam kuungana katika kukabiliana na chuki inayoongezeka dhidi yao kote duniani.