Ibada ya saumu kuchukuwa sura mpya 2020 kutokana na COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati waumini wa dini ya Kiislam wakijiandaa kwa ibada ya saumu itakayoanza wiki hii fatwa imetolewa waumini kusali na kufutari majumbani kuepusha maambukizi ya virusi vya corona.