Tanzania : Hukumu iliyowatia viongozi wa upinzani hatiani yabatilishwa

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama Kuu nchini Tanzania imebatilisha hukumu iliyowatia hatiani viongozi wa upinzani akiwemo kiongozi wa upinzani wa Chadema Freeman Mbowe kwa makosa ya kuandamana na uchochezi.