Hotuba ya Hali ya Kitaifa: Biden azungumzia mvutano na China
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati Rais Joe Biden alipokuwa anazungumza katika kikao cha pamoja cha bunge la Marekani Jumanne usiku kuhusu hali ya kitaifa suala la mvutano na China juu ya puto linalodaiwa kuwa la kijasusi liliibuka katika hotuba yake.