Hospitali Chicago yakabiliana na uhaba wa wafanyakazi kwa kutumia huduma za roboti wawili

Your browser doesn’t support HTML5

Hospitali moja huko mjini Chicago, Marekani inakabiliana na tatizo la upungufu wa wafanyakazi, na hivyo wamebuni njia mbadala ya kutumia roboti kutekeleza majukumu mbalimbali. Katika ripoti hii mkurugenzi wa uvumbuzi katika hospitali hiyo anaeleza kwa nini imewalazimu kutumia roboti...