Hoja zaidi zawasilishwa juu ya kifo cha Floyd

Your browser doesn’t support HTML5

Waendesha mashtaka waendelea kuwasilisha hoja zao siku ya nne kwenye kesi inayomkabili Derek Chauvin afisa wa zamani wa polisi Marekani.
- Serikali ya Uingereza yapiga marufuku wasafiri kutoka Kenya kuingia nchini mwake kuanzia wiki ijayo.

- Shirika la Afya Duniani (WHO) lasema mtu mwengine amepatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Guinea.