Mjadala juu ya udhibiti wa Utoaji mimba Marekani unazua maswali mazito sana kuhusu mipaka ya ufuatiliaji wa kidigitali na jinsi habari hiyo hiyo inaweza kutumika kuwalenga watoa mimba.
Hofu yatanda juu ya udhibiti wa taarifa za utoaji mimba mitandaoni Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Wataalam wa faragha za kidigitali wana wasiwasi kuwa taarifa za mitandaoni zinaweza kutumiwa dhidi ya wale wanaotaka kutoa mimba.