Hofu yatanda Darfur juu ya kuondoka walinzi wa UN

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa Darfur waeleza kuwa kuondoka kwa vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kutaashiria matatizo makubwa wakazi wa Darfur na kukumbwa na ghasia zaidi.