Historia ya Afrika Mashariki yapatikana maeneo ya miji ya pwani

Your browser doesn’t support HTML5

Historia ya nchi za Afrika Mashariki imehifadhiwa katika miji mikuu iliyoko eneo la pwani ya mataifa hayo, ikiwemo majumba ya kale, mahandaki ya kijeshi na minara kati ya kumbukumbu nyingine.