Hisia mseto kuhusu mapinduzi ya Arab Spring

Your browser doesn’t support HTML5

Wachambuzi wanasema mikakati iliyofikiwa na Mapinduzi ya Arab Spring bado ni changamoto katika nchi nyingi zilizopitia vuguvugu hilo la kisiasa ambapo Tunisia inaonyesha yalileta mafanikio katika taasisi zake.