Matamshi muhimu ya hotuba ya Rais Obama mjini Selma

Your browser doesn’t support HTML5

Matamshi muhimu ya Rais Obama mjini Selma, Alabama Machi 7 kuadhimisha miaka 50 tangu polisi kuwapiga waandamanaji walokua wanapigania haki ya kupiga kura iliyojulikana kama 'Bloody Sunday'