Hayati Rais wa Tanzania aenziwa na Umoja wa Mataifa

Your browser doesn’t support HTML5

Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati John Pombe Magufuli ameenziwa Ijumaa kwenye kikao maalum cha Baraza la Umoja wa Mataifa, mjini New York, Marekani.
- Leo Ijumaa Polisi katika mji wa Indianapolis, Indiana, Marekani wanasema watu wanane wamepigwa risasi na kuuawa kwenye kituo cha FedEx na mshambuliaji wa bunduki ambaye alijiuwa.