Hayati Rais Ratsiraka wa Madagascar atajwa kuwa shujaa na mzalendo

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Madagascar Didier Ratsiraka afariki akiwa na umri wa miaka 84, na taifa hilo limemsifu kuwa alikuwa shujaa na mzalendo.