Hatua ya Spika Ndugai kujiuzulu yawashtua wengi
Your browser doesn’t support HTML5
Hatua ya aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai kujiuzulu imewashtua wengi nchini Tanzania ambapo wachambuzi wanasema shinikizo kutoka kwa wanachama wa CCM zimepelekea kuchukua hatua hii.