Hatua ya kuorodheshwa ADF kuwa magaidi yaungwa mkono

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waunga mkono hatua ya serikali ya Marekani kuwaorodhesha waasi wa ADF katika kundi la magaidi.