Hatma ya wafanyakazi wa kampuni ya Amazon huko Minnesota
Your browser doesn’t support HTML5
Uamuzi wa kampuni ya Amazon kufunga ofisi zake Minnesota, Marekani kumeleta wasiwasi mkubwa kwa wafanyakazi wake. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili kuhusu hatma ya wafanyakazi wenye asili ya Afrika ambao wanafanya kazi na kampuni hiyo.