Hatma ya mswaada wa $2,000 wajadiliwa na Baraza la Seneti Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Seneti Marekani kuamua hatma ya mswaada wa kutoa dola 2,000 kwa kila raia wa Marekani ili kuwasaidia kukabiliana na athari za kiuchumi kutokana na janga la virusi vya corona.
-Aina mpya ya virusi vya corona yaendelea kusambaa katika nchi kadhaa huku maambukizi yakiongezeka Uingereza.

-Rais wa zamani wa Burundi azikwa nchini Mali.