Hatimaye mpaka kati ya Rwanda na DRC wafunguliwa

Your browser doesn’t support HTML5

Mpaka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye wafunguliwa na mikakati yafikiwa kati ya nchi hizo ikiwa ni hatua ya kudhibiti COVID-19.