Hatari inayowakabili kina mama wanaojishughulisha katika dampo la Dandora

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake Kenya waeleza wanavyojiaminisha kupekua takataka katika dampo la Dandora bila ya vifaa vya kujikinga kwa sababu hawana njia mbadala ya kupata kipato cha kujikimu kimaisha.