Hamdok ajiuzulu na kuweka mustakbali wa demokrasia mashakani
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdock amejiuzulu Jumapili huku mgogoro wa kisiasa kufuatia mapinduzi ya kijeshi ukiendelea na kuiweka nchi katika hali ngumu zaidi kidemokrasia.