Hali yarejea kuwa yakawaida baadhi ya vijiji DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Hali yarejea kuwa ya kawaida katika baadhi ya vijiji DRC wakati mapigano kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23 yakiendelea.
- Idara za usalama nchini Kenya zinafuatilia kwa karibu masuala ya usalama baada ya balozi za Ulaya kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa shambulizi la kigaidi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari