Hali ya wasiwasi yaenea Marekani baada ya jengo kuanguka Florida

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya wasiwasi yaendelea kutanda nchini Marekani wakati watu 150 hawajulikani waliko na wanne kufariki baada ya jengo kuporomoka.
- Afisa wa polisi mzungu aliyepatikana na hatia ya kumuua Mmarekani Mweusi George Floyd kujua hatma yake Ijumaa.

-Uingereza yapiga marufuku wasafiri kutoka Uganda katika juhudi ya kudhibiti maambukizi ya Corona.