Hali ya vita DRC inaendelea kuwaathiri watoto na wanawake wakitafuta usalama wao

Your browser doesn’t support HTML5

Mkimbizi Dansira aeleza alivyoendelea kuishi maisha ya ukimbizini tangu akiwa na watoto wanne na hivi leo ana watoto 11 akieleza alivyolazimika kukimbia makazi yake kujisalimisha maisha yake na watoto wake.