Hali ilivyokuwa wakati wa kukamatwa Rais wa Mali

Your browser doesn’t support HTML5

Vikosi vya jeshi la Mali vikiondoka na rais Ibrahim Boubacar Keita, na viongozi wengine wa serikali baada ya kuwakamata mjini Bamako, Jumanne, Agosti 18, 2020.