Hakuna mawasiliano kati ya Rais Trump na Rais mteule Biden

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Rais Donald Trump akiendelea kupinga matokeo ya Uchaguzi Marekani 2020, hakuna mawasiliano kati ya uongozi wake na Rais mteule Joe Biden
Waziri Mkuu wa Ethiopia atoa saa 72 kabla ya jeshi la Ethiopia kuvamia eneo lenye mzozo la Tigray.