Habari za upigaji kura kutoka kwa mwandishi wa VOA Arlington, Virginia
Your browser doesn’t support HTML5
Mwandishi BMJ Muriithi akieleza hali ilivyo mwaka 2020 katika kituo cha kupiga kura huko Arlington akilinganisha na uchaguzi uliofanyika miaka minne iliyopita.