Ghasia zaendelea kwa siku ya saba Lebanon

Your browser doesn’t support HTML5

Waandamanaji wawasha moto matairi na kuweka takataka kuzuia njia zote muhimu nchini Lebanon na ghasia na maandamano kutokana na mzozo wa kiuchumi uliodumu kwa mwaka mmoja na kukwama kwa shughuli za kisiasa.