Ghasia Niger zaua watu zaidi ya 500

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya raia 500 wamekufa kati ya Januari mosi na Julai 29, 2021 kutokana na ghasia kwenye mkoa wa Tillaberi nchini Niger.
Ripoti ya Amnesty International inasema idadi imevuka mauaji ya watu 397 mwaka 2020 na pia zaidi ya watoto 60 wameuwawa na makundi yenye silaha katika maeneo ya mpakani .