Gavana wa jimbo Nigeria asaini sheria ya kuhasiwa na kifo wabakaji

Your browser doesn’t support HTML5

Gavana wa Kaduna Nigeria asaini sheria inayotoa adhabu ya kuhasiwa pamoja na kifo kwa watakao kutwa na hatia ya ubakaji.