Duniani Leo : Mei 11 : Gavana mpya mwanajeshi awataka waasi wajisalimishe

Your browser doesn’t support HTML5

Gavana mpya wa Kijeshi wa Kivu Kaskazini Luteni Jenerali Constant Ndima ameanza kazi rasmi Jumanne akiwatoa fursa kwa waasi kujisalimisha bila masharti yoyote.
- Kenya yapiga marufuku ndege zote kutoka Somalia.

- Mapambano kati ya Israeli na kundi la Hamas la Palestina wapambana