Gavana asema New York imerejea katika hali yake ya kawaida

Your browser doesn’t support HTML5

Gavana wa New York asema jiji hilo limeanza kurejea katika hali yake ya kawaida baada ya shughuli zote kusimama ikiwa ni hatua ya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona.