Gavana asema DRC imeanza mazungumzo na UN

Your browser doesn’t support HTML5

Gavana wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, anasema serikali imeanza mazungumzo na Umoja wa Mataifa kutafuta suluhisho la waasi eneo la Beni ambao wamekuwa wakiwaua wananchi wasiokuwa na hatia.