Gambia yafuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika 2022

Your browser doesn’t support HTML5

Michuano ya kutafuta nafasi ya kucheza katika kombe la mataifa ya Afrika, AFCON 2022 Cameroon, ambapo timu ya taifa ya Gambia imefanikiwa kufuzu kwa mara kwanza katika historia yao baada ya kuifunga Angola bao 1- 0 nyumbani.