Formula One : Hamilton aahidi kuweka rekodi ya juu zaidi

Your browser doesn’t support HTML5

Dereva mahiri wa mbio za magari ya Formula 1 anaamini kuwa anaweza kuweka rekodi ya juu zaidi ya mbio hizo kuliko ile iliyofikiwa na nguli wa mbio hizo Michael Schumacher.