Tukio la shambulizi katika klabu Orlando

Your browser doesn’t support HTML5

Karibu watu 50 wauwawa katika shambulizi kwenye klabu ya Pulse huko Orlando, Florida, Jumamosi usiku kuamkia Jumapili na zaid ya 50 kujeruhiwa.