Fistula Afrika Mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wanaoishi na fistula katika baadhi ya nchi za Afrika ya Mashariki wameanza kuwa na matumaini ya kupata afweni kutokana na juhudi za kikanda na kimataifa kuwapatia matibabu na msaada wanaohitaji.