Filamu ya Kitanzania yatinga katika jukwaa la kimataifa la Nefflex

Your browser doesn’t support HTML5

Siyo filamu nyingi za Kitanzania zinaingia katika screen kubwa lakini je, unafahamu ni filamu gani iliyofanya hivyo hivi karibuni. Ungana na Sunday Shomari akikuletea maelezo kamili ya filamu hiyo na pia matukio makubwa mengine ya burudani yaliyojiri ulimwenguni mwaka 2022.