Filamu : Mwanamke anavyo wanasa wahalifu wa ngono
Your browser doesn’t support HTML5
Comedy ya "promising young woman" lna elimisha na kusisimua ikionyesha jinsi muigizaji wa filamu alivyoweza kuwanasa wahalifu wa ngono na kuwaadhibu kwa kuwalaghai kwa kujifanya amelewa kupita kiasi na hajitambui.