FIFA yamchagua Mkenya kuwa mmoja wa washambuliaji bora
Your browser doesn’t support HTML5
Shirikisho la Kandanda Duniani, FIFA, limemchagua mchezaji wa kimataifa wa Kenya kuwa mmoja wa washambuliaji 5 wasiojulikana lakini waliofanya vizuri mwaka 2020.