FIFA yachunguza ubaguzi dhidi ya wachezaji wa Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Shirikisho la Soka duniani, FIFA, linachunguza suala la ubaguzi wa rangi lililolenga wachezaji wa Uingereza wakati wa mechi ya Alhamisi dhidi ya Hungary katika michuano ya kutafuta nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia huko Qatar 2020.