FBI yatoa onyo jipya kabla ya kuapishwa Rais mteule Biden

Your browser doesn’t support HTML5

- Idara ya upelelezi ya serikali kuu FBI yaonya kabla ya kuapishwa Rais mteule Donald Trump kuwepo maandamano yenye silaha yanayo daiwa kuandaliwa na wafuasi wa Rais Donald Trump.
- Rais mteule wa Uganda Yoweri Museveni ameonya mataifa ya nje dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya Uganda