Farmajo asema hanuii tena kuongeza muda wa uongozi

Your browser doesn’t support HTML5

Farmajo asema hataki tena nyongeza ya miaka miwili na angependa kuitisha uchaguzi kwa haraka kufuatia taharuki ya kuweza kutokea mapambano kati ya vikosi vya serikali na vile vya upinzani.