Faraja kwa familia za wahanga wa ajali ya ndege Boeing 737 Max

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya Boeing imefikia makubaliano na familia za waathirika wa ajali ya ndege 737 MAX iliyoanguka na kuua watu 157 waliokuwemo ndani ya ndege huko Ethiopia na imekubali kuwajibika na ajali hiyo.