FAO : Wakazi milioni 22 DRC wakabiliwa na uhaba wa Chakula

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) lasema wakazi milioni 22 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wakabiliwa na upungufu wa Chakula.
- Mdahalo kwa ajili ya wagombea urais nchini Uganda wafutwa kwa muda usiojulikana.

- Wabunge wa Marekani wasikiliza shuhuda juu ya mzozo wa Ethiopia.