Fainali ya Super Bowl LV Marekani kuchezwa Jumapili

Your browser doesn’t support HTML5

Timu ya Kansas City Chief itapambana na Tampa Bay Buccaneers katika fainali ya msimu wa ligi ya Super Bowl LV huko Florida, Jumapili.